Lil' Kim kufanya onesho Fiesta Dar jumamosi hii!

Mwanamuziki Anayeitwa Lil' Kim kutoka Marekani ambaye atakuwepo kwenye tamasha la Fiesta Jipanguse 2010 linalofanyika Jumamosi hii katika viwanja vya Leaders Club. Kiingilio 10,000/ ukiwahi kununua mapema, mlangoni ni 15,000/=

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment