HAWA NDIYO VIMWANA WA FUTURE FORCE MANAGEMENT!!

Wanamitindo wa kampuni ya Future Force Management chini ya Mwanamitindo Martin wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla ya Benki ya Starndard Chatered Bank iliyofanyika usiku huu kwenye Hoteli ya Movenpick Jijini Dar es salaam kutoka kushoto ni wanamitindo Rihama, Mayler na kutoka kulia ni Alexia na Hidaya.
Ili kujua nini kilijiri katika hafla hiyo kaa mkao wa kula uone mambo makubwa wanayokuletea Starndard Chatered Bank.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment