Kiongozi wa Ujumbe wa wadau wa sekta ya Nishati kutoka Trinidad na Tobago ambaye pia ni balozi wa nchi hiyo Uganda Bw. Patrick Edwards akichangia jambo wakati wa mkutano wa wadau wa sekta ya Nishati kutoka Tanzania na Trinidad na Tobago leo jijini Dar es salaam.
(Picha na Aron Msigwa )- MAELEZO.
0 comments:
Post a Comment