Kitabu chetu cha sanaa cha comic kinachoitwa TOM & JENNY IN TANZANIA ambacho kiko . mtaani sasa na ambacho kilikuwa kinasubiriwa kwa muda mrefu, ili wasomaji mbalimbali wajue kwamba sasa kitabu kimetoka na wanaweza kukipata jijini Dar es salaam na vilevile tunaweza kuwatumia wasomaji walio nje ya Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla.
TOM & JENNY COMIC BOOK
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment