DADA MONICA KIJUU AAGWA SALENDER BRIDGE!!

Send off Patty ya Monica Kijuu iliyofanyika kwenye ukumbi wa Salender Bridge Anex Julai 25 hapa wakicheza ngoma ya Ilingi kwa kiluga cha warangi inaitwa NTENGULI na hufanywa baada ya harusi na Bw. harusi anaitwa Noel Joram.
Hapa Monica akigonganisha glasi na mume wake Noel Joram wakati wa sherehe ya kumuaga Monica.
Monica akiwa akiwa na marafiki za wakicheza ngoma ya Ilingi kwenye ukumbi wa salender brige anex hall

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment