NA MAGRETH KINABO – MAELEZO.
MKURUGENZI MKUU wa Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC), Tido Mhando amewataka Watanzania kuwa na mwamko wa kutumia mfumo mpya wa kisasa kurushia matangazo ya televisheni kwa kutumia vinga’muzi ujulikano kwa jina la ‘digitali’ ili kuendana na mabadiliko ya dunia.
Kauli hiyo ilitolewa juzi na Mkurugenzi huyo mara baada ya waandishi wa habari kumaliza ziara fupi ya kutembelea Kampuni ya Star Times iliyopo Mikocheni katika ofisi za TBC, Kariakoo na kutembelea mnara wenye urefu wa mita 136 ambao ni mrefu kwa Afrika Mashariki wa kurushia matangazo hayo uliopo eneo la Kisarawe, mkoa Pwani. “Wananchi wanatakiwa kujua umuhimu wa kutumia ving’amuzi (digital) ili kuendana na mabadiliko ya dunia,” alisema Mhando.
Mhando alisema TBC ilipewa kazi na Serikali ya kusambaza mfumo huo nchi nzima ifikapo mwaka 2012, ambapo ilitafuta mwekezaji kwa ajili ya kazi hiyo. Aliongeza kuwa mwekezaji huyo, Star Times ambaye ameingia ubia na TBC anajulikana kwa jina la Star Media Tanzania.
Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Star Media Tanzania, Charles Liu, alisema kampuni hiyo imewaajiari Watanzania 185 kwa ajili ya kazi hiyo na wategemea kuajiri Watanzania 2000 mitatu. Aliitaja mikoa ikayofuatia kutekelezwa suala hilo katika awamu ya pili ni, Mbeya, Moshi, Tanga na Shinyanga.
Mkurugenzi Msaidizi wa Star Media Tanzania, Lilian Masanche, alisema watahakikisha kila familia katika mikoa yote nchini wanafurahia matangazo hayo kwa kutumia huduma hiyo ya kisasa. Kampuni hiyo inafanya kazi hiyo hivi sasa katika mikoa ya Dares Salaam, Arusha, Mwanza na Dodoma. Jumla ya dola za Marekani zaidi ya milioni 200 zitawekezwa katika suala hilo na tayari wameshawekeza dola za Marekani milioni 30.ends.
4 comments:
Kabla Uncle Tido Mhando hajazungumzia matumizi ya Digital, atueleze namna ambavyo wafanyakazi na vipindi toka TBC vinavyokwenda na wakati. Hawa watu wataia kinyaa na RIPOTI ZA TAARIFA badala ya HABARI NA UCHAMBUZI. Kama nilivyoeleza katika makala yangu hii hapa (http://changamotoyetu.blogspot.com/2009/09/tanzania-yangu-yenye-vyombo-vingi-vya.html), TBC wana kila uwezeshwa wa serikali, wananchi na hata makampuni dhamini kuwa chombo chenye kuweza kuleta tathmini na changanuzi mbalimbali za maana katika habari na makala zao. HAWAFANYI HIVYO.
Inatia aibu kusikiliza habari za TBC na vipindi vya (baadhi nivipatavyo huku) maana hakuna la maana wanaloingilia kwa undani.
Lakini pia vipi kuhusu kwenda DIGITAL ilhali hata mtandao wao haujitoshelezi?
Kama Radio ya Taifa ambayo inatakiwa kutufaa sote waTanzania ambao tuko ndani na nje ya nchi (kwani walio nje wanawekeza nchini pia), TBC ilitakiwa kuwa na live streams za matangazo ama hata archives za audio an video lakini li-wapi? Leo hii hata walisafisha njia hapo TBC tangu enzi za mwalimu hawajulikani, hawathaminiki wala hawakumbukwi. Rejea mada yangu ya April 19 hapa (http://changamotoyetu.blogspot.com/2010/04/tunawapenda-hatuwathaminikwa-kuwa.html). Mitandao ipo na ingeweza kutunza yooote haya.
Tutaendaje na wakati kwa kuwasikiliza watu wasiokwenda na wakati?
Kaka. Naamini ni wakati wa ku-walk the walk na si ku-talk the talk.
Wangejua ni asilimia ngapi ya waTanzania wana access na hata analog (achilia mbali digital) ya uhakika wangejitahidi kuboresha hilo.
Linaloonekana sasa ni "kupaka rangi kitu kilicho kichafu ndani". Yaani kujitahdi kuwa na mitambi iliyo bora wakati matangazo hayakidhi ubora wa kuwa na mitambo hiyo.
Ni afadhali wangetumia pesa hizo kuboresha matangazo waliyonayo kuhakikisha yanamfaa na kumsaidia na kumjenga mwananchi wa kawaida kabla hawajafikiria (i doubt kama wamefikiria, SO ntasema KABLA HAWAJAKURUPUKA) na kuanza kuweka digital ilhali hawajui kuzitumia.
Kwangu ni sawa na kuwa na ndege kuubwa AIRPORT wakati hakuna hata anayejua na kuweza kuirusha ( na pengine hakuna anayeihitaji).
It's a shame

Post a Comment