Rais Kikwete azindua umeme Mriti, Ukerewe

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifumua kitambaa kuashiria kuzindua rasmi mradi wa Umeme katika kijiji cha Muriti katika wilaya ya Ukerewe leo jioni.Kulia ni Waziri wa nishati na madini William Ngeleja na kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa TANESCO Mhandisi William Mhando(p (Picha na Fredy Maro)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment