Rais Kikwete amtambulisha Bilal Mama Salma ampongeza Rais Kikwete!!

Mwenyekiti wa CCM ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulishaMgombea Urais wa Zanzibar Dr.Ali Mohamed Shein(kushoto) na mgombea mwenza bara Dr.Mohamed Gharib Bilal kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM jana usiku.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpongeza Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuchaguliwa kwa zaidi ya silimia 99 kuwa mgombea pekee wa Urais kwa tiketi ya CCM(picha na Freddy Maro)

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pampoja na Rais wa Zanzibar Amani Abedi Karume(kulia) pamoja na Makamu wa Rais Dr.Ali Mohamed Shein(wapili kushoto), pamoja na mgombea mwenza Dr.Mohamed Gharib Bilal mwishoni mwa mkutano mkuu wa CCM mjini Dodoma jana usiku.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment