Mh. Nyalandu, Mkewe Faraja, Wazazi wake pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama na serikali wakiwa jukwaani wakati wa utambulisho katika mkutano mkuu wa jimbo la Singida kaskazini uliofanyika katika viwanja vya Mtinko hivi karibuni .
Mh. Lazaro Nyalandu na Mkewe Faraja wakiwa katika pozi wakati wa mkutano mkuu wa Jimbo la Singida kaskazini, uliofanyika katika viwanja vilivyopo Tarafa ya mtinko.
Umati mkubwa wa watu waliokadiriwa kuzidi elfu kumi na tano toka sehemu mbalimbali za Mkoa wa Singida walihudhuria kumsikiliza Mbunge huyo machachari na vikundi mbalimbali vilivyokuwepo kuburudisha katika viwanja vya Mtinko.
Umati mkubwa wa watu waliokadiriwa kuzidi elfu kumi na tano toka sehemu mbalimbali za Mkoa wa Singida walihudhuria kumsikiliza Mbunge huyo machachari na vikundi mbalimbali vilivyokuwepo kuburudisha katika viwanja vya Mtinko.
Mh. Nyalandu na Mkewe wakisakata rumba baada kuhutubia mkutano huo.
Msanii maarufu nchini Tanzania, anayetamba katika anga za kimataifa Dokii a.k.a Surprise Dokiko ambaye kwa sasa yuko nchini Afrika ya Kusini kwa masomo akiwasha moto jukwaani na kundi lake mahiri lijulikanalo kama Wanajeshi wa Yesu. Walishambulia jukwaa hilo katika staili ya kipekee.
umati mkubwa wa watu waliokadiriwa kuzidi elfu kumi na tano toka sehemu mbalimbali za Mkoa wa Singida walihudhuria kumsikiliza Mbunge huyo machachari na vikundi mbalimbali vilivyokuwepo kuburudisha katika viwanja vya Mtinko.98- Jukwaa la Kisasa lilijengwa na kutumika katika mkutano huo. Lilijengwa na kupambwa kwa hali ya kipekee.
0 comments:
Post a Comment