Kaimu mkurugenzi mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bwn. Michael Mhando (kushoto) akikabidhi mashuka ikiwa ni sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali kwa ajili ya wagonjwa wa saratani kwenye hospitali ya ocean road mfuko uadhimisha siku yake kitaifa Juni 30 kila mwaka kitaifa kauli mbiu "MTAJI WA MTANZANIA NI AFYA BORA,JIUNGE NA NHIF/CHF",anayepokea kwa niaba ya wagonjwa ni Kaimu Mganga Mkuu Dr. Diwani Msembo (kulia) wa taasisi hiyo.
Afisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bi Anna Mhina akiwapatia sabuni kwa wagonjwa waliolazwa kwenye wodi katika taasisi ya saratani ya hospitali ya Ocean Road wafanyakazi wa NHIF walitoa vitu mbalimbali kwa wagonjwa na kuwafariji walipoadhimisha siku ya mfuko ambapo ufanyika kila Juni 30 kila mwaka.
0 comments:
Post a Comment