Ajali mbaya imetokea leo asubuhi jijini Dar es salaam ambapo kuna kila dalili zinazoonyesha kuwa watu waliokuwemo katika gari hiyo siyo salama, jamani wadau angalieni mwendo kasi wakati mnapoendesha magari yenu ili kujihakikishia usalama muwapo barabarani na kuepuka ajali zinazotokana na uzembe jamani yatatum,aliza.
Hapa askari wa usalama barabarani wakiliondoa gari hili lililopata ajali baada ya kunasa kwenye mti kutokana na kugonga mti huo.
Hapa askari wa usalama barabarani wakiliondoa gari hili lililopata ajali baada ya kunasa kwenye mti kutokana na kugonga mti huo.
0 comments:
Post a Comment