Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wakati alipofungua Mashindano ya Umoja wa Michezo wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISETA) kwenye uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha Juni 20, 2010. Kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Jumanne Mghembe na Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Hajati Amina Mrisho. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (Wapili kushoto) akizungumza na washiriki wa mashindano ya Umoja wa Michezo wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISETA) wakati alipofungua mashindano hayo kwenye uwanja wa Shirika la Elimu la Kibaha
Washiriki wa Mashindano ya Umoja wa Michezo wa Shule za Sekondari TANZANIA (UMISETA) wakipita kwa maandamano mbele ya Mgeni Rasmi, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kwenye uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha.
Washiriki wa UMISETA Kanda ya Dar es salaam wakipita mbele ya Mgeni rasmi Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Washiriki wa UMISETA Kanda ya Dar es salaam wakipita mbele ya Mgeni rasmi Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
0 comments:
Post a Comment