Watumishi Wa Serikali Wapewa Mafunzo Ya Sheria ya TEKNOHAMA!!

Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEKNOHAMA) katika Wizara ya Sayansi na Teknolojia Dk. Zaituna Yona akifungua Mafunzo ya Kuwajengea uwezo juu ya Sheria ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano watumishi wa Serikali kutoka idara mbalimbali Dar es Salaam , wa kwanza kulia ni Mtaalamu wa TEKNOHAMA kutoka Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (LRCT) Adam Mambi
(Picha na Munir Shemweta LRCT).
Washiriki wa mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo juu ya Sheria ya TEKNOHAMA wakisikiliza mada zilizokuwa zikitolewa na mtaalamu wa TEKNOHAMA kutoka LRCT Adam Mambi jana ambaye hayupo pichani (Picha na Munir Shemweta LRCT).

Mtaalamu wa TEKNOHAMA kutoka Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (LRCT) Adam Mambi akiwasilisha mada katika mafunzo ya kuwajengea uwezo watumishi wa Serikali juu ya Sheria ya TEKONOHAMA (Picha na Munir Shemweta LRCT)
(Munir Shemweta Afisa Habari LRCT)



You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment