Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Idd Kipingu, akizungumza wakati wa kufungua semina ya wahariri wa habari za michezo iliyoandaliwa na kampuni ya Keen Arts na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania, kwenye ukumbi wa hoteli ya Giraffe Ocean View Resort, Dar es Salaam leo.
Mkuu wa Udhamini wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, George Rwehumbiza, akitoa mada juu ya udhamini wao katika michezo mbalimbali nchini, wakati wa semina ya wahariri wa habari za michezo iliyoandaliwa na kampuni ya Keen Arts na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania, kwenye ukumbi wa hoteli ya Giraffe Ocean View Resort, Dar es Salaam leo.
Sehemu ya wahariri wa habari za michezo wakifuatilia semina
iliyoandaliwa na kampuni ya Keen Arts na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania, kwenye ukumbi wa hoteli ya Giraffe Ocean View Resort, Dar es Salaam leo.
iliyoandaliwa na kampuni ya Keen Arts na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania, kwenye ukumbi wa hoteli ya Giraffe Ocean View Resort, Dar es Salaam leo.
Maurus kutoka Jambo Leo na Lugendo kutoka ITV kushoto.
Mtaalamu wa Mambo ya Habari wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu, akirekodi majadiliano yaliyokuwa yakiendelea wakati wa semina ya wahariri wa habari za michezo iliyoandaliwa na kampuni ya Keen Arts na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania, kwenye ukumbi wa hoteli ya Giraffe Ocean View Resort, Dar es Salaam leo.
0 comments:
Post a Comment