Mkurugenzi wa TBL Robin Goetzsche (wa kwanza kushoto), Meneje wa bia ya Ndovu Special Mart, Oscar Shelukindo (wa pili kutoka kushoto) na Mpishi mkuu wa TBL Mzee Gaudence Mkolwe wa (pili kulia) wakionenya tuzo ambayo, Bia ya Ndovu imepata tuzo hiyo huko nchini ujerumani, na yalifanyika mapokezi makubwa jioni hii katika viwanja vya TBL.
Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt Oscar Shelukindo akizungumza jambo na wafanyakazi wa TBL na Waandishi wa Habari jioni hii katika viwanja vya TBL muda mfupi mara baada ya kuwasili toka nchini Ujerumeni.
Kikundi cha mapokezi kikicheza ngoma mbalimbali katika uwanja wandege wa mwalimu J.K.Nyerere mara baada ya tuzo hiyo kuwasili na Meneja wa kinywaji cha Ndovu Special Malt Oscar Shelukindo pamoja na Mpishi mkuu wa TBL mzee Gaudence Mkolwe waliokewanda kuipokea nchini Ujerumani.

1 comments:
vichekesho! wanaiga USA mmedodaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa angalieni miguu kwanza, yaani nimecheka we acha tu
Post a Comment