Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Brazil wakiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere usiku wa kuamkia leo, timu hiyo itajitupa kwenye uwamja wa taifa usiku leo kwa mchezo wa kirafiki na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars kabla ya kurejea tena nchini Afrika Kusini ambako inashiriki fainali za kombe la soka la Dunia (FIFA World Cup) zinazotarajiwa kuanza Juni 11/2010 nchini humo Brazil imewasili na mastaa wake wote waliopo kwenye timu hiyo.
TIMU YA TAIFA YA BRAZILI ILIPOTUA NCHINI USIKU WA KUAMKIA LEO!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment