Miss Dar City Centre Salma Mwakalukwa akipungia mashabiki mkono mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano hilo lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye hoteli ya Movenpick jijini Dar es salaam kulia ni mshindi wa pili Bahati Chande na kushoto ni Neema Ally mshindi wa tatu.
Warembo walioingia tano bora kutoka kulia ni Bahati Chande, Neema Ally, Sanza Kajubi, Neema Jacob ma Salma Mwakalukwa.
Vazi la ufukweni.
Warembo na vazi la ufukweni.
Mtangazji Kapten Gadner Habash akiwa na maiwaifu wake Lady Jay Dee.
Mwigizaji wa filamu Kanumba ndani ya nyumba akiwa pamoja na Meneja huduma wa kampuni ya RBP Oil & Industrial Technology T Limited Ibrahim Khatrush kulia.
Hawa walishikwa na butwaa sijui nini kiliwapata.
Majaji wakifanya kazi yao kwa makini.
Warembo katika onesho la ufunguzi.
Wadau wengi walijitokeza jana
0 comments:
Post a Comment