Mwenyekiti wa Baraza la Watoto Tanzania Nyabuchwenza Methusela akimkabidhi Rais Jakaya Mrisho Kikwete risala ya Baraza la watoto katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.Katika hafla hiyo Rais Kikwete aliongea na wawakilishi wa watoto na kujibu maswali mbalimbali aliyoulizwa na watoto hao kuhusu masuala ya haki za watoto.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na wajumbe wa Baraza la Watoto muda mfupi baada ya kufanya mazungumzo nao ikulu jijini Dar es salaam jana jioni(picha zote na Freddy Maro)
Rais Jakaya Mrisho akiwa katika picha ya pamoja ikulu jijini Dar es Salaam na wajumbe wa Baraza la Watoto Tanzania muda mfupi baada ya kufanya mazungumzo nao na kujibu maswali mbalimbali yahusuyo haki za watoto.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijibu maswali mbalimbali aliyoulizwa na wajumbe wa Baraza la Watoto Tanzania wakati alipokutana nao jijini Dar es Salaam jana jioni.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijibu maswali mbalimbali aliyoulizwa na wajumbe wa Baraza la Watoto Tanzania wakati alipokutana nao jijini Dar es Salaam jana jioni.
0 comments:
Post a Comment