RAIS JAKAYA AIKONEKANA KUMWELEZA JAMBO MWANASOKA KAKA WA BRAZIL JANA!!

Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi zawadi ya kinyago mchezaji timu ya taifa ya Brazil Kaka mara baada ya mchezo wao na timu ya taifa ya Tanzania kumalizika kwenye uwan ja wa Taifa ambapo Brazil ilishinda magoli 5-1 rais pia alishuhudia pambano hilo lililokuwa zuri na la kuvutia kwa timu zote mbili ukiachilia mbali uwezo mkubwa ambvao wachezajiowaBrazil wanao ambao umkwa kiwango kikubwa timu hiyo kuibuka na ushindi huo mnono katikati ni Meneja mkuu wa mawasiliano na Uhusiano wa kampuni ya bia ya Serengeti ambao ndiyo wadhamini wakuu wa Taifa Stars.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment