RAIS JAKAYA AFUNGUA MAABARA YA KISASA MAWENI KIGOMA!!

Mwakilishi kutoka wizara ya Afya Dr.Pamela Sawa akimpa Rais Jakaya mrisho Kikwete maelezo ya uhifadhi wa damu Salama katika mabara ya kisasa katika hospitali ya Maweni mjini Kigoma muda mfupi baada ya Rais kuifungua maabara hiyo jana mchana
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wauguzi na wafanyakazi wa hospitali ya Maweni wakati wa uzinduzi wa Maabara ya uhifadhi Damu Salama jana mchana(picha na Freddy Maro





You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment