RAIS JAKAYA AFUGUA WARSHA YA ELIMU KANDA YA AFRIKA LEO!!

Rais Jakaya Kikwete akifungua warsha ya Elimu kanda ya Afrika iliyogharamiwa na Shirika la misaada la Marekani (USAID) kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Kempinsk jijini Dar es salaam leo iliyoanza leo tarehe 6-9 Juni, Warsha hiyo inakutanisha wasomi mbalimbali katika masuala ya elimu katika bara la Afrika.
(Picha na Mwanakombo Jumaa wa Maelezo).
Rais Jakaya Kikwete wa pili kutoka kulia akisikiliza hotuba ya balozi wa Marekani hayupo pichani.

washiriki wa warsha ya elimu kanda ya afrika.
Wajumbe wa warsha wakimsikiliza rais akikwete wakati wa ufunguzi huo jijini Dar es salaam leo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment