Mwanablog Dr. Imani Hamza Kondo ( kwenye dunia ya ku-blog anayefahamika kama zemarcopolo), anatangaza nia ya kugombea ubunge wa Morogoro Kusini Mashariki kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ( CCM) katika uchaguzi mkuu ujao.
akiwa kama mwanablog , anawaomba wanablogu kushirikiana nae kuomba Mungu ili uchaguzi uende vizuri na afanikiwe kupata matokeo yenye manufaa kwa taifa letu tunalolipenda.
anasema yeyote atakayehitaji taarifa zaidi basi asisite kuwasiliana naye moja kwa moja kwa zemarcpolo@yahoo.co.uk.

0 comments:
Post a Comment