"Ngoja niukate watu wajichane" Nikama ndivyo anavosema Mwamvita makamba ambaye ni Mkurugenzi wa Vodacom Foundation wakati alipokuwa akikata keki katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwenye hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es salaam. FULLSHANGWE tunakupongeza dada kwa kufurahia siku yako ya kuzaliwa na tunakutakia maisha mema na yenye mafanikio, Hongera sana!
MWAMVITA MAKAMBA ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA KWAKE!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment