Mshindi wa vodacom kombe la dunia trivia sms apokea zawadi yake!!

Ully Mwaipopo mkazi wa kimara akipokea zawadi ya Luninga aina ya LCD nchi 32 iliyounganishwa na king’amuzi cha DSTV kutoka kwa mtaalamu wa bidhaa wa Vodacom Tanzania Joe Bendera (kulia) kwa niaba ya mshindi wa shindano la Kombe la Dunia Trivia SMS, Ganga Mlipano. Katikati ni Afisa Huduma wa DSTV, Carlos Amri,Vyote vikiwa na thamani ya Milioni 1.6

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment