Mwandaaji Shindano la Miss Tanga Asmah Makau kushoto akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo wakati alipokuwa akielezea maadalizi ya shindano hilo linalotarajiwa kufanyika tarehe 19, Juni kwenye ufukwe wa Tanga Beach Resort ikishirikisha warembo 22 wa Mkoani humo,kutoka Lushoto, Pangani, Handeni, Centeral , Usagara, College Chumbageni na Ngamiani.
Warembo wako chini ya walimu watatu ambao ni Miss Tanga 2009 Glory Chuwa, Amina Sadiki na Maryam Bandawe Miss Tanga wa miaka mingi iliyopita, huku burudani zikitolewa na Matonya mwana Bongofleva maarufu nchini kutoka mkoani Tanga, Mc Babu Ayubu, Benjamin wa Mambo Jambo pamoja na Ney wa Mitego.
0 comments:
Post a Comment