MDAU ARON MSIGWA MARA BAADA YA KUUKANA UKAPERA MBELE YA PADRI!!

Mdau Aron Msigwa wa Idara ya Habari (MAELEZO) akiwa na mkewe Bi. Yunitha Estakio wakitoka kanisani mara baada ya kufunga pingu za maisha hivi karibuni jijini Dar es salaam wadau wote wa Blogu ya FULLSHANGWE wanakupa pongezi na kuwatakia maisha mema na yenye mafanikio katika ndoa yenu takatifu, Mungu awabariki sana na kuwajalia katika kila jambo. .
Mdau Aron Msigwa wa Idara ya Habari (MAELEZO) akivikana pete ya ndoa na Bi. Yunitha Estakio ikiwa ni ishara rasmi ya kuiaga kambi ya ukapera na kuanza maisha mapya ya ndoa.

Mdau Aron Msigwa na Yunitha Estakio wakiwa na nyuso za furaha wakati wa sherehe ya kuwapongeza iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa TAZARA jijini Dar es salaam.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment