Rais wa (AGOTA) Chama cha Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya akina Mama na Uzazi Dr. Projestine Muganyizi akizungumza na waandishi wa habari wakati alipozungumzIa mkutano wa (FIGO) Cha Cha Madaktari bingwa hao Duniani unaotarajiwa kufanyika hapa nchini mwaka huu.
Akizungumzia Kapeni ya kutokomeza vifo kwa akina mama vinavyotokana na uzazi amesema mpaka sasa chama chake cha (AGOTA) kime fanya kazi nyingi katika kupambana na tatizohilo ikiwa ni pamoja na kuunda kamati tatu za kampeni kwa ajili ya kupambana na matatizo hayo na kupunguza vifo vya akina mama wajawazito.
Amesema Kamati ya Kwanza ni ya kupambana na Kansa ya Kizazi, ya pili ni ya Kuzuia akina mama kutokwa damu nyingi wakati wa kujifungua, na kamati ya tatu ni ya Mpango wa uzazi ambapo hivi sasa wizara ndiyo inayosubiriwa ili iweze kutoa baraka zake na kazi ianze rasmi na akasema pia kwamba fedha kwa ajili ya kampeni hiyo zipo.
Kushoto katika picha ni Katibu Mkuu wa chama cha madaktari bingwa wa magonjwa ya akina mama na uzazi Fhadhilun Mohamed Ally.

0 comments:
Post a Comment