Banda la PPF katika Maonyesho ya wiki ya Utumishi wa Umma!!

Meneja Uhusiano wa PPF Bi Sarah Kibonde (Katikati) akitoa Maelezo kuhusu shughuli za PPF kwa watoto waliofika katika Banda hilo ili kujua shughuli mbalimbali za Mfuko huo wa Bima Katika Maonyesho ya wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea leo Mwanza.
Afisa wa PPF ambaye hakujulikana jina lake mara moja akimweleza mwananchi wa mwanza hatua mbalimbali za kupata Pension mara baada ya kutembelea Banda hili Katika Maonyesho ya wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea leo Mwanza

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment