
Haya ni matukio ya Onesho la wanamuziki Ally Kiba na TID lililofanyika jana usiku @Face club Reading. nhini Uingereza kama anavyoonekana katika picha mwanamuziki TID akifanya vitu vyake jukwaani onesho hilo liliandaliwa na kampuni ya BARAKA BARAKAEXECUTIVE PRODUCERBUZZIE PRODUCTION UK.
Wanamuziki hao walikonga nyoyo za mashabiki waliohudhuria kwenye onesho hilo na kuwafanya washindwe kukaa katika viti vyao hivyo kubaki wamesimama kwa muda wote ambao wanamuziki hao walikuwa wakipagawisha jukwaani

Ally Kiba akiwarusha mashabiki wake

Mashabiki wakibanjuka kila mtu kwa raha zake ili mradi kushangweka tu.
0 comments:
Post a Comment