SIMBA YACHEZEA KICHAPO CHA GOLI 2-1 KUTOKA KWA APR YA RWANDA!!


Timu ya Simba leo imefurumushwa nje ya mashindano ya kombe la klabu bingwa AfrikaMasharikibaada ya kufungwa magoli mawili na timu ya APR ya Rwanda mjini Kigali jioni hii.

Mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika timu hizo zilikuwa suluhu ya goli moja kwa moja, lakini matokeo yamekuja kubadilika katika kipindi cha pili ambapo APR waliongeza goli na kufanya matokeo kuwa APR magoli mawili na Simba goli mojampakamwishowa mchezohuouliomazikamuda mfupi uliopita

Kwa matokeo hayo Simba imetolewa katika mashindano hayona itarejea nyumbani wakati wowote kuanzia sasa ili kujiandaa kwa ajiliyamsimu ujao wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara na mashindano mengine hapo mwakani

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment