Mchumi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika(ADB) Mthuli Ncube akitoa ufafunuzi kwa waandishi wa habari jana mjini Abidjan juu ya taarifa inaoonyesha mwelekeo wa uchumi barani Afrika. Mchumi huo alizindua ripoti hiyo ambayo ni sehemu ya Mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika(ADB) ulionza leo.
Mchumi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika(ADB) Mthuli Ncube (katikati)akitoa ufafunuzi kwa waandishi wa habari leo mjini Abidjan juu ya taarifa inaoonyesha mwelekeo wa uchumi barani Afrika. wengine ni Mtafiti na Mchumi wa ADB Peter Walkenhorst ( kushoto) na Mtaalam Msimamizi(lead Expert) wa ADB Nagatte Wade(kulia)
0 comments:
Post a Comment