Bw. Saimon Lupatu 53 kutoka Handeni mkoani Tanga leo ameongea na wanahabri na kutangaza nia yake ya kugombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi katika Jimbo la Handeni, Saimon amesema yeye ni mwanachama wa siku nyingi wa CCM, nia na uwezo wa kuwaongoza wananchi wa Handeni katika kuelekea tumaini jipya la maendeleo, amesema amekitumikia kiwanda cha Twiga Cement kwa miaka 30 kwa uadilifu mkubwa na mpaka sasa ni mwenyekiti wa bodi ya shule ya msingi ya Wazo Hill ambayo ina mafanikio makubwa katika maendeleo.
SAIMON LUPATU KUGOMBEA JIMBO LA HANDENI KWA TIKETI YA CCM!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment