Mdau Benjamin Sawe wa Idara ya Habari Maelezo akila shavu na mwanamuziki mashuhuri wa Afrika Kusini Yvonne Chakachaka wakati walipokutana kwenye mkutano wa dunia wa kiuchumi World Economic Forum uliofanyika hivi karibuni nchini katika ukumbi wa Mlimani City
Benjamin Sawe alikuwa ni mmoja wa wanahabari waliohudhuria na kuandika habari kwenye mkutano huo hongera kaka
0 comments:
Post a Comment