MKUTANO WA 45 WA ADB KUANZA ALHAMIS 27 MEI MJINI ABIDJAN!!

Washiriki kutoka nchi mbalimbali wakiwa katika usajili kwa ajili ya kushiriki mkutano wa 45 wa Benki ya Mandeleo ya Afrika (ADB) unaofanyika mjini Abidjan unaotarajiwa kufunguliwa siku ya Alhamis ( 27,5,2010) na Rais wa Ivory Coast Laurent Gbagbo .
(Picha na Tiganya Vincent, Abidjan)

Washiriki wa mkutano huo wakiendelea kujiandikisha.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment