Makamu wa Rais Dkt. Alli Mohamed Shein akizindua Mpango kazi wa miaka 5 wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) wakati wa sherehe za maadhimisho ya chama hicho kutimiza
miaka 20 leo jijini Dar es salaam ambapo amesifu jitihada za chama hicho katika kuwakomboa wanawake nchini katika nyanja ya sheria. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti mstaafu Bi. Victoria Mandale akifuatiwa na Mwenyekiti wa sasa wa TAWLA Bi. Maria Kashonda.
(Picha na Aron Msigwa – MAELEZO).
.Kikundi cha sanaa cha Survival Sisters wakitoa burudani kwa viongozi na wananchi mbalimbali waliojitokeza kusherehekea miaka 20 ya utendaji kazi wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) katika viwanja vya Mnazi mmoja leo jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wadau mbalimbali wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) wakifuatilia kwa makini hotuba mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na viongozi mbalimbali wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 20 ya utendaji kazi wa TAWLA nchini leo jijini Dar es salaam.

Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto Dkt. Lucy Nkya akiwa amebeba bango lenye ujumbe “HAKI HAINA JINSIA” leo wakati wa maadamano ya sherehe za Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) kutimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwake katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment