Karibu Mdau Athuman Khamis!!

Mdau Athuman Khamis akipokelewa kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere jumamosi jioni wakati alipowasili nchini akitokea nchini Afrika Kusini ambako alikuwa akitibiwa binafsi nakupa pole mdau yote tumuachie mungu maana yeye ndiye mwamba wetu imara katika yote.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment