Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania Hashim Lundenga kushoto akiongea na warembo wanaotarajia kushiriki kwenye shindano la Miss RBP Dar Inter Colllege wakati kamati hiyo ilipowatembelewa kwenye mazoezi yao jana jioni yanayofanyika kwenye klabu ya Billicanas jijini Dar es salaam shindano litafanyika wiki ijayo tarehe 27 Mei katika klabu hiyohiyo, katikati ni Dr. Rames Shah mshauri wa kamati ya Miss Tanzania na afisa uhusiano wa kamati hiyo Hidan Rico kulia. Picha kwa hisani ya
KAMATI MISS TANZANIA YATEMBELEA KAMBI YA RBP MISS DAR INTER COLLEGE!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment