AZAM FC WAMTAMBULISGA MRISHO NGASA NA KUMKABIDHI JEZI NAMBA 16!!

Mwenyekiti wa Azam FC Said Muhammad Said Abeid akimtambulisha mchezaji wao mpya Mrisho Ngasa ambaye wamemsajiri kutoka katika klabu ya Yanga kwa shilingi milioni 58 za kitanzania ambaye amekabidhiwa jezi namba 16 katika usahiri huo pia wamemsajiri golikipa Jakson Chove kutoa JKT Ruvu kwa kiasi cha shilingi milioni 3, Mrisho Ngasa amesaini mkataba wa miaka mitatu ili kuitumikia klabu hiyo kushoto ni Ibrahim Jesho meneja wa Azam FC, anayefuata ni golikipa Jakson Chove na kushoto mwisho ni Seleman Idd Mjumbe katika timu hiyo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment