Waandishi wa Morogoro wakitoa msaada!!

Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo akipokea msaada wa mavazi kutoka kwa waandishi wa habari wa Mkoa wa Morogoro hivi karibuni wilayani Kilosa. Wanahabari waliotoa msaada huo ili kuonga mkono juhudi za wadau mbalimbali za kuwasaidia waathirika wa mafuriko ya Kilosa ambao bado wanaishi katika Kambi baada ya makazi yao kuharibiwa na mafuriko.
PICHA na Tiganya Vincent-MAELEZO-Kilosa

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment