WAANDISHI WA HABARI WANAWAKE WATOA MAFUNZO KWA WANAWAKE NCHINI KENYA!!

Afisa Msaidizi wa Programu kutoka Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake nchini Kenya (AMWIK) Linda Ongwenyi akiwauliza maswali wanachama wa Kiwanjani Self Help Group kujua kama wameeleza programu mbalimbali za radio zinafundishwa na AMWIK. Picha na Anna Nkinda- Kenya

Unice Kaimuri mwanachama wa Kiwanjani Self Help Group akieleza jambo kuhusu programu ya wanawake na haki za binadamu iliyowasaidia kujua haki zao za msingi.

Mwanachama wa Chicho Hoko group akicheza ngoma ya wakole ya kabila la waborana Borana huku akiwa ameshika redio waliyopewa na AMWIK kwa ajili ya kusikiliza vipindi vya Community Radio Listening Group.

Wanachama wa ANUPIT kutoka kabila la Waturkana wakiwaonyesha wanachama wa AMWIK jinsi ya kutengeneza vibuyu ambavyo wanavitumia kuhifadhiwa maziwa. Kupitia vipindi vya Radio Listening Group wanawake hao wameweza kuelewa haki zao za msingi na wajibu wao kwa serikali.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment