Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika Mohamed Muya
akizungumza na waandishi wa habari jana mjini Dar es salaam juu ya mafanikio ya Serikali ya awamu ya nne kupitia Wizara hiyo yakiwemo kuhakikisha kuwa hakuna mtanzania hata mmoja aliyekufa kwa njaa katika kipindi hicho. kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Bw. Clement Mshana na kulia ni naibu katibu mkuu Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika Sophia Kaduma.

0 comments:
Post a Comment