UNDER TEHE SAME SUN WAKUTANA NA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA!!

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Rais na muasisi wa Under The Same Sun, Peter Ash (kushoto) kutoka Canada ambaye ni albino na na Mkurugezi wa Utawala wa Under The Same Sun, Paul Ash kabla ya mazungumzo yao kwenye makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Aprili 26, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment