The ngomaafrica na jipya CD"JAKAYA KIKWETE 2010 (Rumba)"


Bendi maarufu ya mziki wa dansi barani ulaya The Ngoma Africa band yenye
makazi yake Ujermani,wame peperushwa hewani CD mpya "Jakaya Kikwete 2010"
utunzi wake kamanda mkuu wa kikosi Ras makunja akiimba kwa kushirikiana na mpiga
mpini Christian Bakotessa aka Chris-B.
The Ngoma Africa Band wenye tabia za kutisha kimziki...wamekiwasha iki cha moto
"Jakaya Kikwete 2010" chenye nyimbo mbili ambazo zina mziki mzito mtamu unaotisha.
Ras Makunja na kikosi chake iko wamekiripua cha moto ! CD "Jakaya Kikwete 2010"

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment