Jamani watumieni na wengine, kaka angu kaibiwa laptop 2 Mlimani sasa hivi wamevunja kioo km mnavyoona hapo. nilikua na meeting nae leo tulikaa silver spoon kwa muda mrefu alipotoka ndo tayari.
Jamani hivi mlimani badala ya kuwa sehemu nzuri ya watu kupata mahitaji kumegeuka genge la vibaka hii ni aibu , hebu uongozi chukueni hatua manake badala ka kuwa Mlimani City sasa kunaweza kuwa Mlimani Vibaka, hii kaituma mdau ambaye ndugu yake kaibiwa sasa hivi.
0 comments:
Post a Comment