Baadhi ya warembo wanaoshiriki katika kinyang’anyiro cha miss Miss Universe wakiwa katika mkutano na waandishi wa habari wakati walipotembelea kiwanda cha bia cha Kampuni ya Serengeti kiwandani hapo Dar es Salaam leo. Kampuni ya Serengeti ni moja ya kampuni ilyodhamini mashindano hayo yatakayofanyika Ijumaa hii aprili 23 kwenye Ukumbi wa Mlimani City.. Jumla ya warembo 24 watashiriki kinyang’anyiro hicho. Kutoka kushoto ni Happy Kimbe mlezi wa warembo , Bahati Singh Meneja Matukio na Promosheni, Imani Lwinga Meneja Mwandamizi wa Mahusiano na Mawasiliano wa SBL na Nandi Mwiyombella Meneja Bidhaa. (Picha na Mohamed Mambo)
Warembo wanaoshiriki katika kinyang’anyiro cha miss Miss Universe wakiingia kwenye kwenye ofisi za Kampuni ya Bia ya Serengeti Dar es aSlaam leo. Jumla ya warembo 24 watashiriki kinyang’anyiro hicho .

(Picha na Mohamed Mambo)
0 comments:
Post a Comment