MATUKIO BUNGENI DODOMA LEO!!

waziri wa Madini na Nishati William Ngeleja (kulia) na Naibu Waziri wa Madini na Nishati Adam Malima wakizungumza leo katika viwanja vya Bunge Dodoma baada ya Waziri Ngeleja kuwasilisha Muswada wa Sheria ya Madini wa Mwaka 2010 (The Mining Billngano.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza Wa Rais (Muungano) Muhammed Seif Khatib (kushoto) akizungumza na waandishi wa Habari Dododma leo kuhusu mambo mbalimbali ya Muungano. Mwengine ni Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment