MATUKIO BUNGENI DODOMA LEO!!

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mwantumu Mahiza (mwenyemiwani) akiwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) leo wakati wanafunzi hao walipokwenda kuangalia maeneo mbalimbali ya shughuli za Bunge mjini Dodoma leo. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO
Mwenyekiti wa Kamati za Mahesabu za Mashirika ya Umma Zitto Kabwe leo Bungeni akitoa taarifa ya Kamati za Hesabu za Mashirika ya Umma pamoja na mapendekezo na maoni yaliyomo kwenye taarifa . Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.

Mbunge wa Mtera Johhn Malecela Akichangia sheria ya Malisho na vyakula vya mifugo

Mbunge wa Monduli Edward Lowassa (kulia) akimsikiliza Mbunge wa Kiteto Benedict Nangoro (kushoto) leo ndani ya Ukumbi wa Bunge -Dodoma. Picha na Mwanakombo Jumaa -Maelezo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment