KAMANDA AKIWA KATIKA KIVAZI CHA CHUICHUI!!

Kamanda mpiganaji wa FULLSHANGWE Bw. John Bukuku katika pozi na kivazi cha Chuichui kivazi ambacho mara nyingi huvaliwa na wadau wa Kampuni ya bia ya Serengeti SBL kama vile Bahati Singh Meneja Matukio na Promosheni wa kampuni hiyo na wengine wengi picha hii ni kwa hisani kubwa ya dada Jane John wa http://www.janejohn5.blogspot.com/ asante sana dada Jane.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment