Dodoma Bungeni na Matukio!!

Mbunge(CUF) Fatma Maghimbi (kulia) na Mbunge Haroub Masoud(CCM Koani) wakiingia Bungeni leo katika vikao vya bunge vinavyendelea mjini Dodoma (Picha zote na Mwanakombo Jumaa) -MAELEZO.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Mjumbe wa UWT Mkoa Dar es salaam Shyrose Banji leo katika viwanja vya Bunge Waziri mkuu ambaye ndiye mkuu wa shughuli za bunge kwa upande wa Serikali yuko mjini Dodoma katika vikao vya bunge vinavyoendelea.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment