Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Mahesabu ya Serikali Ludovic Utouh akitoa taarifa za Mahesabu ya Serikali Kuu , Mashirika ya Umma na Serikali za Mitaa kwa waandishi wa habari Dodoma leo. (kutoka kulia) Mwenyekiti wa Kamati ya Mahesbu za serikali John Cheyo, CAG, Mwenyekiti wa Hesabu za Serikali za Mitaa Dr. Willibrod Slaa akifuatiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Mashirika ya Umma Zuberi Zitto. Picha na Mwanakombo Jumaa wa MAELEZO.
CAG Ludovic Utouh akitoa taarifa ya hesabu za serikali kuu Mjini Dodoma leo!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment